Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,097
Naomba unipeleke keko ukipata muda baada ya sikukuuPale Keko ukiwapelekea picha wanachonga
Naomba unipeleke keko ukipata muda baada ya sikukuuPale Keko ukiwapelekea picha wanachonga
Pale Keko ukiwapelekea picha wanachonga
Mkuu hii transition kutoka vyombo vya 70’s mpaka mimama imekuja ghafla!Pale hom kuna vyombo kabatini za toka 1970 baba na mama walipewa zawadi kwenye harusi.aseee vitu za zamani ni nzuri na imara sana.ndio maana hadi leo mi napenda mimaza ya zama zile.yaani hawana usumbufu halafu huwezi amini mashine zao zinabana kama kindude kinafunika soda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hii transition kutoka vyombo vya 70’s mpaka mimama imekuja ghafla!