5M nahitaji gari poa

5M nahitaji gari poa

Danny Massawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,299
Reaction score
765
nitashukuru sanawadau kama nitapata chuma cha 5m chenye sifa zifuatazo;liwe toyota, liwe linanusa mafuta, lisiwe chini sana na bodi iwe poa na ngumu, liwe la mwaka 99 kuja mpaka 2011, pia liweze safari ndefu...binafsi napenda premio au carina. Asanteni
 
bigmoney anataka 4.x, alaf ningependa ya namba B, Iliyopoa kuliko ile.
 
Nina starlet number CNG, mileage 45000,insuarence comrehensive ,mil 6 tu
 
premio ni old\new model? alafu mkuu mwenye hiyo premio BZS tupia mapicha tuone tufanye biashara
 
victor wa happy, unafikiri kuanza kununua ndinga kabla ya nyumba ni kosa? ninapokaa na shughuli zangu pamoja na familia natumia usafiri 15 elf daily iyo inatosha kuweka mafuta ya gari na nakuwa comfortable zaid ya kukodi pkpk, pia 5m siwez jenga mjenjo
 
Mkuu nunua mkoko kama mimi....!!
 
Mkuu ajenge sisi tuwapangishe kina nani sasa? wewe nunua tuu gari mkuu achana na mambo ya kujenga tuachie sisi na NHC ....ili mje mpange tusomeshe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom