5G itasababisha surfing at explosive speed na hivyo kuwarahisishia hao waabudu ibilisi mipango yao ovu wanayopanga juu ya binadamu na dunia. Hii ishu ya korona inaweza kuwa turning point ya matukio makubwa sana duniani, mithili ya lile tukio la kuwatoa waisraeli kule utumwani Misri, tuendelee kuwa macho...