5G life ni wakweli au matapeli?

5G life ni wakweli au matapeli?

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku 60 base ya 35k ina rotate 125k kwa 60days vp mwenye uzoefu hii kitu ni kweli au nao wapigaji KMA calynder
 
ANOTHER PONZI SCHEME! ILA FRESH TU MAKE LIFE HALIELEWEKI.
 
Hivi we mambo ya kipumbavu kama haya bado unaruhusu yakuingie?
 
Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku 60 base ya 35k ina rotate 125k kwa 60days vp mwenye uzoefu hii kitu ni kweli au nao wapigaji KMA calynder
Nyie watu msikie aisee,mbona mnakuwa kama kenge!? Hii nchi watu wanatia aibu sana,suala ni lilelile no matter investment schemes italavyokuwa kwenye platform yoyote "UKIONA UMEITWA KWENYE FURSA JUA WEWE NDIO FURSA"
 
Daaaaah sasa serikali na kampuni za mitandao zinaruhusu vp vitu kama ivi au tuseme tgo voda na serikali wote matapeli inakuaje mtu anafanya had registration kwa paybill ya kampuni ya mtandao na bdo serikali iko kimya this is fucking bullshits.ila mm calynder sikuwaona kma matapeli manake watu tulipata faida mbona isipokua weny tamaa zaidi ndo ilikula kwao..mm calynder siwadai ila niliinvest na faida ang ikarud.
 
Mzee hiyo si fursa, wewe ndio unakuwa fursana.

Kwani jamani hamjifunzi tu, toka nduki usigeuke nyuma, utageuka na kuwa jiwe la chumvi
 
Waulize kitu kimoja wanafanya biashara Gani inayo guarantee kupata 125k kwa mtaji wa 35k??

Ni kama ni proposal ya uhakika kwanini wasiende bank na business idea wachukue mkopo??

Wakikujibu fanya maamuzi
 
Daaaaah sasa serikali na kampuni za mitandao zinaruhusu vp vitu kama ivi au tuseme tgo voda na serikali wote matapeli inakuaje mtu anafanya had registration kwa paybill ya kampuni ya mtandao na bdo serikali iko kimya this is fucking bullshits.ila mm calynder sikuwaona kma matapeli manake watu tulipata faida mbona isipokua weny tamaa zaidi ndo ilikula kwao..mm calynder siwadai ila niliinvest na faida ang ikarud.
Unalazimisha tu ku justify kupigwa. Haya nenda kajiunge Hawa sio watapeli, utatoboa na nzuri zaidi uweke hela nyingi. Uza ulivyonavyo ukiwa na 10m + aaaagh utavuna Sana mjomba
 
Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku 60 base ya 35k ina rotate 125k kwa 60days vp mwenye uzoefu hii kitu ni kweli au nao wapigaji KMA calynder
Jaribu kuweka utatupa mrejesho
 
Back
Top Bottom