Mwita25, ulifunga leo? Mbona Idi bado kidogo?Wengi huwa wanasahau ku-log out lakini hata kama siyo hivyo kuna nchi nyingine muda huu ni mchana kwahiyo haishangazi kuona idadi hiyo ya watu muda huu. Kwamfano hapa Malindone sasa ni saa 10 jioni watu tunajiandaa kufuturu.
duuuh kweli hakuna kulalaThere are currently 5538 users online. 982 members and 4556 guests
Ni usiku wa manae (02:00 am) member wana-browse, kweli jf ni ni mtandao wa kimataifa.
huo ndio ushahidi kuwa watu hawavunji tena amri za Bwana.