pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,352
Nilikuambia kwamba dish lako limedondosha nati kama zote ukasema ni matusi. Ona sasa.

Nilikuambia kwamba dish lako limedondosha nati kama zote ukasema ni matusi. Ona sasa.

Soma vizuri uone hiyo ameweka Ni ya miaka kumi iliyopita. Mlipo Sasa tulikuwa humo ndani miaka zaidi ya 10 iliyopita.Hawa si kuna thread wameanzisha ya aina hii kumbe hali ya kwao ni mbaya zaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app