Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wandugu,
wataalamu naomba kujuzwa, unapouziwa 512KbPS ya internet maana yake nini!?
Je hii ni spidi unayopaswa kuwa nayo kwa kila mashine uliyonayo kwenye say ofisi au spidi hii inagawanyika kwa kila mashine (if so nikiwa mashine kama 10) spidi itakuwaje?
Ninapoona Local Area Connection Status; Speed 100 MbPs ina tafsiri gani ukilinganiasha na 512KbPs hapo juu ninayopata kwa service provider!?
Asanteni sana kwa kujuzwa!