50yrs of independence:::The Death of Tanzania Empire::::

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wizara ya usafirishaji
hali itakuwa mbaya kadri siku zinavyoenda mbele


images
images





Wizara ya kilimo
watanzania wataendelea na kilimo cha mkono mpaka kufa kwao

images



Waziri ya utalii
wanyama wanaisha huku serikari ikinufaika na mpango huu

images


images





Wizara Ya ulinzi inazidi kukandamiza watu na kuwasababishia madhara makubwa

images

images






Wizara ya afya inadumisha mira zake kwa kutojali watanzania
images

images
 
sasa hao wa india nao wamekua watanzania? unaweza kusababisha na kupotosha watu na unaweza kuchochoa ufisadi hivi hivi, kuna watu hawatakua makini na watafuata fikra zako, watajenga chuki na kukata tamaa na nchi yao na watakua tayari kwa chochote katika kuiangamiza au kushirikiana na wengine wasio watanzania kuiangamiza nchi yetu, kwa kuwa watadhani hii nchi ni kweli ****ed up, ijulikane kuwa chochote unachopost humu kina madhara katika hadhira inayosoma, sio wote hapa ni wakubwa na wanaweza kuchambua hiki ni cha kweli , utani au ni fix tupu, tujitahidi kuelimisha taifa letu
 
Yes, Tanzania imekufa au tuseme Tanzania ni koloni la Vigogo wa CCM.

Hebu fikiria CC yote ya CCM inanuka rushwa.

Anza na akina MZee Mwinyi, Mkapa, Malecela, Sumaye, Jumlisha na ile List of shame ya Mwembeyanga.

Sasa utasema tuna serikali au Genge la mafisadi??

Uchumi unayumba saaanaaa
 
Back
Top Bottom