500 Business Ideas (Mawazo ya Biashara 500)

Huoni kama unasumbuka kutuma moja moja,ungetupia hyo full doc then watu wakajichagulia wenyewe kulingana na uwezo wap wa mtaji
Mkuu unataka ale wapi? Ana full book kama hiyo wadau waliyotuma hapa, then yeye anajifanya ni kazi yake kwa kuwaomba watu hela eti awasaidie kuwatumia mchanganuo mmoja mmoja.
 
Wenye kuelewa tunaendelea vizuri, wasiohitaji kuelewa wataendelea kupeana udaku. Sisi tunafanyia kazi tafiti zilizofanyika na zikawekwa pasipo kufanyiwa kazi. Anakuja mtu analeta kitu cha 2010; na sasa ni 2018; hivi mtu huwezi kujiuliza miaka 8 imepita kitu hiki hakijabadilika kweli?

Angalizo hakuna jipya chini ya jua .. hata mpenzi wako wa sasa ni mpenzi wa zamani wa mwingine. Ila kwa sasa sio sawa na kipindi alipokuwa kwa mwingine.

Mwenye macho haambiwi tazama.
Mkuu, hiyo kampuni yako ya MDI ilifanya hizo tafiti wapi na kuja na hizi business ideas ambazo unawatumia watu hapa kwa malipo?

Mwanzo ulisema ulituma vijana wako maeneo tofauti kufanya tafiti na mkaja na hii kitu, sasa hivi baada ya kuumbuka unasema mnafanyia kazi tafiti zilizoachwa bila kutumika.

Unasema ya 2010 ni ya zamani. Sasa hii ya 2010 unayokopi kwayo
Screenshot_20180825-142658.png

Ina tofauti gani na hii hapa chini unayotumia watu na kujifanya ni yako?
Screenshot_20180825-142556.png

Ila sio mbaya. Wajinga ndio waliwao. Sisi tumeshawekea full book.
 
Ila nilichoamini katika dunia hii maboya wa kupigwa hawawezi kuisha kamwe ndo maana miradi ya wapigaji bado inaendelea kunawiri mfano mdogo tu ni hapa yaani watu wameshawekewa full book but bado wamekazana kutuma email tu.Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni
Mkuu, hiyo kampuni yako ya MDI ilifanya hizo tafiti wapi na kuja na hizi business ideas ambazo unawatumia watu hapa kwa malipo?

Mwanzo ulisema ulituma vijana wako maeneo tofauti kufanya tafiti na mkaja na hii kitu, sasa hivi baada ya kuumbuka unasema mnafanyia kazi tafiti zilizoachwa bila kutumika.

Unasema ya 2010 ni ya zamani. Sasa hii ya 2010 unayokopi kwayoView attachment 846619

Ina tofauti gani na hii hapa chini unayotumia watu na kujifanya ni yako?View attachment 846621

Ila sio mbaya. Wajinga ndio waliwao. Sisi tumeshawekea full book.
Mkuu naomba unitumie full book kwenye email msigwamb@gmail.com because nikijaribu kodownload PDF uliyoweka hapa jukwan kwangu inagoma
 
Mkuu, hiyo kampuni yako ya MDI ilifanya hizo tafiti wapi na kuja na hizi business ideas ambazo unawatumia watu hapa kwa malipo?

Mwanzo ulisema ulituma vijana wako maeneo tofauti kufanya tafiti na mkaja na hii kitu, sasa hivi baada ya kuumbuka unasema mnafanyia kazi tafiti zilizoachwa bila kutumika.

Unasema ya 2010 ni ya zamani. Sasa hii ya 2010 unayokopi kwayoView attachment 846619

Ina tofauti gani na hii hapa chini unayotumia watu na kujifanya ni yako?View attachment 846621

Ila sio mbaya. Wajinga ndio waliwao. Sisi tumeshawekea full book.
Hakuna jipya chini ya jua.
 
Back
Top Bottom