50 yearz of freedom hangover

mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
499
174
Miaka 50 ya uhuru wa tanganyika na c tanzania bara ni wa mizengwe.baada ya uhuru...wananchi walikuwa na ari na nguvu ya kutaka kujenga nchi yao,walikuwa na malengo ya kizazi kijacho kipate kuwaenzi....watanganyika wa enzi zile tutapata kuwakumbuka sana.esp wana tanu pia popote mlipo hongereni kwa kupata uhuru ktk mazngira magumu...ila pole kwa pombe ya uhuru...ambayo hangover yake ipo mpaka muda huu.nchi c nchi tena bali ni shamba la bibi..sehemu ya kujichotea mali kama unavyojickia.nchu ina maendeleo duni wananchi uwezo wa kuelewa mgumu,wawekezaji wala sahani moja na viongoz wa juu,wapo kwa masilahi yao binafsi,ya nchi hakuna,ya wananchi hakuna,kuna vjiji tangu enzi za uhuru vmesuswa,hakuna huduma za kijamii,hospitali hakuna,zahanat hakuna ni neema za mungu tuu zinawawezesha kuishi.hali ya uchumi ni balaaa bila shaka wadau wa jf mnajua na mnackia maumiv yake,kila kukicha bei juu..miaka 50 ya uhuru nchi imeshndwa kuweka wazi yupo upande upi wa mfumo wa kiuchumi,upande gani dini,kupatikana kwa katiba ya kila mtanzania...50yrz ya uhuru hakuna mahakama ya ukweli,hakuna haki ya kusema na kuonyesha wananchi tunachojicikia,50yrz ya kugandamizwa kwa mtanzania kiuchumi na haki zake...happy bday tanganyika.navumilia kuwa mtanganyika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom