We mleta mada kama unafikiri kuwa mdomo wangu unanuka basi utakuwa umekosea sana. Mimi ni mtu wa afya na huwa ninapiga mswaki mara sita kwa siku pia huwa napenda kula pipi kifua ambazo kwa kiasi kikubwa hunisaidia kuondokana na harufu mbaya mdomoni. Sina uhakika kwa hao wengine uliowataja hapo chini.
Hebu tupe hatua ambazo huwa unachukua kukabiliana na hili swala ili wengine tupate maujanja ya kukabiliana nalo cuz hili kweli ni janga la kitaifa!Uko sahihi sana,
Hili ni tatizo kubwa kwa watu walio wengi. Mimi mwenyewe hunitokea mara nyingi lakini nimebahatika kujua hivyo na kwa hiyo huwa nachukua hatua.
Halafu kwa bahati mbaya, watu wengi wanaonuka mdomo ni wanaume.......!!!!!
Ndugu Sordo...huu utafiti kwanini unauona kama ni Udaku??
sisi tuko vizuri bwanaHebu tupe hatua ambazo huwa unachukua kukabiliana na hili swala ili wengine tupate maujanja ya kukabiliana nalo cuz hili kweli ni janga la kitaifa!
Uko sahihi sana,
Hili ni tatizo kubwa kwa watu walio wengi. Mimi mwenyewe hunitokea mara nyingi lakini nimebahatika kujua hivyo na kwa hiyo huwa nachukua hatua.
Halafu kwa bahati mbaya, watu wengi wanaonuka mdomo ni wanaume.......!!!!!
sisi tupo safiii kabisa! ngoja tuwasaidie na wengine wawe kama sisi!!sisi tuko vizuri bwana
Hebu tupe hatua ambazo huwa unachukua kukabiliana na hili swala ili wengine tupate maujanja ya kukabiliana nalo cuz hili kweli ni janga la kitaifa!
Mmmh ni kweli hayo Dark City.??? Hembu tudadavulie kwanza hapo kwenye red!! Plz...
halafu ningefurahi kama wachangiaji wakatoa some solution kama labda kula pipi kifua, au aina flani ya dawa za meno n.k ingekua bomba sana!!
Napiga mswaki kwa kula miwa.
Siwezi nuka mdomo
OTIS
Kupiga mswaki tu wala haitoshi...Unapigaje mswaki ndilo jambo muhimu. Pia dawa unazotumia nazo ni kitu cha maana sana!
Huwa nafanya haya yafutatayo,
1. Napiga mswaki 2-3 times a day (natumia colgate ila najitahidi kutafuta dawa yenye mint). Wakati wa kupiga mswaki nasugua sana ulimi na sehemu nyingine ambazo zinaficha mabaki ya vyakula + dead cells ambavyo ni vyakula vya bacteria (anaerobic bacteria) wanaotoa gesi zenye sulfa nyingi ambazo ndiyo hutoa harufu.
2. Najitahidi kutokaa muda mrefu bila kuongea au kutafuna kitu. Hii inasababisha mdomo kukauka na hivyo kujaza gesi zinazonuka. Natumia chewing gums zenye mint na sukari kidogo (au zisizo na sukari). Pia huwa natumia maji mara kwa mara
3. Ninapohisi hali inakuwa mbaya huwa natumia mouth washes (hizi zipo za aina nyingi kwenye maduka ya dawa)
4. Nakuwa sensitive sana ninapohisi hali si nzuri....najizuia kuongea face to face na mtu au kuongea kwa kumwelekea mtu directly.
5. Kuonana na dentist mara kwa mara ingawa wataalamu wetu wengi wanatushangaa unapokwenda kufanya routine checks!
Yapo mambo mengi ila nimeweka yale ambayo binafsi huwa natumia mara kwa mara,
Sema Mkuu Sizinga
hii ni hatari ya taifa asilimia hamisini duhhhh.
Nway kuna kitu kinaitwa "gingivitis" hii inatoka na damu kutoka kwenye fizi,
na pia huwa kuna rangi nyekundu au rangi ya zambarau
saa nyingine fizi zina umuka na kuwa laini kupiti kaisi..
gingivitis = husababisha harufu mbaya ya mdomo ( Bacteria kwenye fizi)
Pia nimewahi kusikia harufu mbaya ya mdomo pia inakuja
kutoka kwenye koo. ukiwa na njaa au hujala kwa mudaa
pia unaweza ku sababisha harufu mbaya ya mdomo.
Na kama tujuavyo mdodmo ndio sehemu chafu kuliko
sehemu zote mwilini.
Upigaji wa mswaki si meno tu, ukuta wa mdomo, juu, chini
bila kusahau "ULIMI"
Wengi pia hutumia "sugar free shewing gum" zinasaidia sana
kila baada ya kula kitu .mfano extra, eclipse, trident, orbit etc..
zinapatika kwenye maduka tu na bei rahisi tu....
Kwa mtazamo wangu msemo wako ni sahihi ukimuhusu mwanaume.
Kwa mwanamke kule ile kitu yetu ndio inaongoza kwa uchafu mwili mzima.
OTIS