50% ni kweli imezingatiwa??

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Serikali imetoa ajira kibao za kilimo, ualimu na bado manesi. Lkini ukiangalia kwa undani utakuta vigezo vingi sana vimeangaliwa kwenye kutoa hizi ajira. Watu wengi sana wameachwa.
Mfano mdogo kwenye ualimu: Mtu mwenye suppy halafu akawa ameclear within a time hawajachukuliwa/hawajariwa, watu wengi wa BE(Basic Education Degree) hawajachukuliwa, wale waliokuwa Private lakini wakaomba kwenda kwenye government karibu wote wameaachwa.

Gazeti la Mwanahalisi lilikuja na waraka toka Ofisi ya Raisi kwenda kwa makatibu Wakuu wa Wizara zote kwamba mwaka 2012 serikali haina fedha za kutosha hivyo ajira mpya zipunguzwe kwa asilimia 50 na upandishwaji wa vyeo upunguzwe kwa ailimia 50.

Je kwa hili tunalichukuliaje na serikali yetu hii na bomu la ajira?? 50% ndo ishaanza kutumika hapo??
 
Back
Top Bottom