Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,249 Feb 16, 2012 #1 50 Cent alipoitembeelea Somalia hivi karibuni.
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 Feb 16, 2012 #2 Inapendeza kuona wasanii wakikumbuka kujihusisha na misaada kwa walio katika shida mbalimbali,ni mfano mzuri kwa wengine.
Inapendeza kuona wasanii wakikumbuka kujihusisha na misaada kwa walio katika shida mbalimbali,ni mfano mzuri kwa wengine.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Feb 16, 2012 #3 me love this...................STREET KING CHILDREN SUPPORT, ts 50.
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,684 Feb 16, 2012 #4 kwa hiyo hao watoto anawapa hayo mahindi wanaenda kuyapika au?
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Feb 16, 2012 #5 wanawafanya hao watoto mtaji wao
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,638 Reaction score 20,254 Feb 16, 2012 #6 naye kazidi kujilipua na mipamba,. sio kila sehemu upigilie yankees caps,atleast hajaonesha ufahari wa blingbling chains(au aliogopa kupigwa ngeta?)some say 50 is a coward,haiingiagi club na cheni...alll in all big up gangsta..
naye kazidi kujilipua na mipamba,. sio kila sehemu upigilie yankees caps,atleast hajaonesha ufahari wa blingbling chains(au aliogopa kupigwa ngeta?)some say 50 is a coward,haiingiagi club na cheni...alll in all big up gangsta..
T thinka JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 334 Reaction score 157 Feb 16, 2012 #7 Emanuel Makofia said: wanawafanya hao watoto mtaji wao Click to expand... Mtaji vp ndugu jamaa anatoaa msaada kutoka mfukon kwake waala hachangishwi mtu hapo
Emanuel Makofia said: wanawafanya hao watoto mtaji wao Click to expand... Mtaji vp ndugu jamaa anatoaa msaada kutoka mfukon kwake waala hachangishwi mtu hapo
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,467 Reaction score 9,053 Feb 16, 2012 #8 kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi
kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,249 Feb 16, 2012 Thread starter #9 Saint Ivuga said: kwa hiyo hao watoto anawapa hayo mahindi wanaenda kuyapika au? Click to expand... mi naona kama ni maindi yaliyochemshwa kama makande.
Saint Ivuga said: kwa hiyo hao watoto anawapa hayo mahindi wanaenda kuyapika au? Click to expand... mi naona kama ni maindi yaliyochemshwa kama makande.
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,249 Feb 16, 2012 Thread starter #10 lukindo said: kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi Click to expand... hahahahaaaa. Sijajua mkuu.
lukindo said: kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi Click to expand... hahahahaaaa. Sijajua mkuu.
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,249 Feb 16, 2012 Thread starter #11 Emanuel Makofia said: wanawafanya hao watoto mtaji wao Click to expand... haya mawazo ya kizamani tuyaache. Tusifikiri watu wote ni sawa. Kuna wengine wanajua machungu ya maisha.
Emanuel Makofia said: wanawafanya hao watoto mtaji wao Click to expand... haya mawazo ya kizamani tuyaache. Tusifikiri watu wote ni sawa. Kuna wengine wanajua machungu ya maisha.