50 Cent in Africa. (Photos)

50 Cent in Africa. (Photos)

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
4,921
Reaction score
3,249
50 Cent alipoitembeelea Somalia hivi karibuni.

50-Cent-in-Africa4.jpg
50-Cent-in-Africa3.jpg
story_wide.jpg
50-cent-in-somalia.jpg
50-cent-in-somalia-4.jpg
50cent-in-africa-4.jpg
50_cent_gives_a_tourist_a_pound_in_soweto.jpg
 
Inapendeza kuona wasanii wakikumbuka kujihusisha na misaada kwa walio katika shida mbalimbali,ni mfano mzuri kwa wengine.
 
me love this...................STREET KING CHILDREN SUPPORT,

ts 50.
 
kwa hiyo hao watoto anawapa hayo mahindi wanaenda kuyapika au?
 
naye kazidi kujilipua na mipamba,. sio kila sehemu upigilie yankees caps,atleast hajaonesha ufahari wa blingbling chains(au aliogopa kupigwa ngeta?)some say 50 is a coward,haiingiagi club na cheni...alll in all big up gangsta..
 
kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi
 
kesha rejea US au anampitia na mshikaji wake hapa bongo!? ...maana yeye huwa 'akipanda' huko lazima apitie G-Unit kuwapa hi

hahahahaaaa. Sijajua mkuu.
 
Back
Top Bottom