To sum it up, mwanadamu ni mwanamme. Mwanamke alitokana na mwanamme. How then can they be equal? Tuwape haki na heshima wanayostahili but ya 50/50 is shere nonsense!Suala tu la kuumbwa mmoja mume na mwingine mke tayari linakinzana kabisa na dhana nzima ya 50/50
Hivi lile dawati ni la jinsia au la wanawake!!???Unashindana na upepo ? Dunia imeshaamua hivyo nchi yako imetia sahihi UN kukubali hayo halafu wewe unapinga ? Ushauri kwako aidha badilika au utaishia Jela na ukitoka huko ndiyo utakuwa feminist zaidi ya mafenist, sasa hivi kuna dawati la jinsia kila mahali na wanaongezewa power, ...
Hivi lile dawati ni la jinsia au la wanawake!!???
Boss bado haujaandika. How comes mtu aseme eti uongozi nao uwe 50/50? Kwani uongozi unauchukuliaje hapa? Kama source of income au kama uwezo wa kuiongoza jamii? Kwa nini kiomgozi asioatikane kwa ajili ya uwezo wake badala yake apate uongozi kwa ajili ya jinsia yake?? This is stupidity. Na hapa ndo wazungu wanapotudanya sisi waafrika na 50/50 katima uongozi na bunge. Wanajua kabisa wanawake theybare weak. Wanajua itakuwa rahisi kwao kupenyeza wizi wao huku Afrika. Mhona hakuna nchi yoyote huko Ulaya ambayo ina uongozi wenyewe wa 50/50?Hapa shida inaonekana wengi hawaelewi 50/50 kwenye nini hasa... ? Majukumu na wajibu kwa kila mmoja yataendelea kama kawaida.Isipokuwa pale ambapo kuna ubaguzi wa haki. Iwe sawa kwa kila mmoja kwenye nyanja zote:
1. Elimu wote wanastahili haijalishi mtoto wa kike au wa kiume.
2. Afya wote wanastahili afya bora
3.Ajira zitolewe bila ubaguzi
4.Nafasi za Uongozi zisijali jinsia,hapa ndo kuna mifano mingi jinsi jinsia Ke ilivyodhihirisha uwezo e.g Mama Samia Suluhu,Tulia n.k.
Otherwise, jukumu la Ubaba atabaki nalo Mwanaume na pia jukumu la Umama atabaki nalo Mwanamke na wala sio jambo la stigma.
Yeye mwenyewe Samia huwa anasema kabisa anawaomba msamaha wanae hawapati muda wa kuwa nae. Anatamani angekuwa na muda wa kukaa naoYani wewe ndo kiazi kweli, sasa mwanamke akishakua na huo usawa wa uongozi majukumu yake kama mke atayatekeleza vipi.
Yani we ndo moja ya makunguru, unatoa na mfano Samia flani flani akiwa ziarani nje ya nchi nani aleo watoto ?
Namba 4 ndo umezingua na weweHapa shida inaonekana wengi hawaelewi 50/50 kwenye nini hasa... ? Majukumu na wajibu kwa kila mmoja yataendelea kama kawaida.Isipokuwa pale ambapo kuna ubaguzi wa haki. Iwe sawa kwa kila mmoja kwenye nyanja zote:
1. Elimu wote wanastahili haijalishi mtoto wa kike au wa kiume.
2. Afya wote wanastahili afya bora
3.Ajira zitolewe bila ubaguzi
4.Nafasi za Uongozi zisijali jinsia,hapa ndo kuna mifano mingi jinsi jinsia Ke ilivyodhihirisha uwezo e.g Mama Samia Suluhu,Tulia n.k.
Otherwise, jukumu la Ubaba atabaki nalo Mwanaume na pia jukumu la Umama atabaki nalo Mwanamke na wala sio jambo la stigma.
Kwanini lisiitwe Dawati la wanawake kama mwanamke ndo mlengwa!? Hayo ni matumizi mabaya ya neno "jinsia"Jinsia lkn Mwanamke ndo mlengwa, au ulifikiriaje ?
You can say that again!Sitaki kukubali kua mimi na mwanamke tuko sawa, hii habari ya 50/50 it's a whole complete stupidity package.
Good for you!Kwanini lisiitwe Dawati la wanawake kama mwanamke ndo mlengwa!? Hayo ni matumizi mabaya ya neno "jinsia"