50,000 ya kuombea chuo TCU inalipwaje?

50,000 ya kuombea chuo TCU inalipwaje?

DENICE ADRIAN

Senior Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
127
Reaction score
30
Naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kupitia TCU mwaka huu.

Kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20 hivyo nahitaji kuwa tayari. Msaada plz
 
naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kuptia tcu mwaka huu...kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20.. msaada plz
Usiwe na haraka wakifungua tu aplctn maelezo utayakuta pale kweny website yao
 
Back
Top Bottom