50,000 ya kuombea chuo TCU inalipwaje?

DENICE ADRIAN

Senior Member
Feb 14, 2014
127
30
Naombeni kujua jinsi ya kulipa hiyo hela ya kuomba vyuo kupitia TCU mwaka huu.

Kama walivosema kuwa wataanza kupokea tar 20 hivyo nahitaji kuwa tayari. Msaada plz
 
Back
Top Bottom