50,000/= TZS note coming soon?

Sir Johm Mbona Unakurupuka Kama Slaa?

Nani kasema uchumi utakuwa kwa kuchapisha minoti? nadhani wewe ndio uliekariri STORY YA IDDI AMIN.

SUALA NI KWAMBA JE noti ya Tshs inafaa kuingizwa kwenye Uchumi wetu kwa sasa?

Majibu yashatolewa

Wewe mbona una papara?

Wadau, being critical is acceptable, but not over critical.

Siku zote mnapaswa kutumia vielelezo kujenga hoja, na sio kubwabwaja tu; na iwe vielelezo makini; sio UCHAKACHUZI.

mwaka 2005 JK alipoingia Madarakani Exchange rate ya Tshs against USD ilikue Tshs 1235 - 1260/ USD; sasa exchange rate ni Tshs 1475 - 1505/USD.

Makame!
Absolutely you are wrong!
Uchumi haukui kwa kuchapisha minoti,for what i know and believe ..the more paper money a country prints for its own purpose the less currency will be worth!so kuprint minoti ya elfu50 ndiko kutapeleka nchi shimoni!you can't deal with inflationary trends by manipulating currency!
Hivi wachumi wa wizara ya fedha na central bank wamelala usingizi au ni huko kusoma kwa kukariri???Am sure hata interest rate and inflation rate hawajui ni kiasi gani kwa sasa!wajiulize tuna export kiasia gani na tuna import kiasia gani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom