kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,313
- 12,613
Ndicho kilichoujaza Moyo wake na kumchefua. Hii ndio maana utawala Wa sheria na katiba ya watu vinahitajika 24/7. Wala ndizi wanasahau na wanaweza kuwaza mambo yao mengine kama haya ya mleta uzi huu, lakini mtupa maganda huwa hasahau. Hii ndio shida wanayopata watawala wanaopambana na makundi kama boko haram, alqaeda, ISIS, alshabab, Hama's, Kurd, Tamil, Taliban, etc. Wao hawasahau agenda/madai yao 24/7 lakini watawala sometimes huwa wanasahau kuwa kuna watu wenye malalamiko.mkuu jaribu kuwa na maisha nje ya siasa na ushabiki wa kisiasa, relax ruhusu kujifunza mambo mengine nje ya chadema, mleta maada hajataja popote hata neno siasa tu, lakini wewe unaleta vijembe dhidi ya ccm? too irrelevant