Thanks dia,u nailed it,.very few men can appreciate and hold on to what they have..hata uwabebe,ts just the same..enjoy while it lasts,na kuomba Mungu tu.Wengine wana matatizo yao toka hukoo kwenye familia zao, au mtu karithi mitabia, hata afanyiwe nini nibure.
Yani we acha tu shosti...yani kupelekana sijui beach..mara kushikana shikana na kubembelezana naishia kuchungulia kwenye tamthilia mtaa wa pili!
mmh, sasa shosti ndo kukunwa gani huko bila mapenzi? mi anipende kwanza mwaya hata kama ni kwa kinafiki![/QUOTE]
Nakubaliana nawe lakini mapenzi ya kinafiki Hmmmm! siyataki kabisa ya nini kupoteza muda wako muhimu na mtu ambaye unadhani anakupenda kwa moyo wake wote kumbe ni mnafiki tu moyo wake uko kwingine!? Si atakuachia jeraha kubwa la mapenzi.
I Want To Know What Love Is - Mariah Carey | Music Video | VEVO
Ala, kumbe unataka akufanyie kama unavyoona kwenye tamthiliya???
Mimi nimeweza kuongea na mapadri na wachungaji wanaoletewa mashitaka ya ndoa kuvunjika wengi wanasema suala kubwa ni mchezo. Mchezo ukidorora chumbani ndio mwanzo wa ndoa nyingi kufa. Lamuhimu nikujua mpenzi wako anataka penzi la namna gani ili umfikishe kileleni, bila kufika kileleni ujue hilo penzi halitadumu. Na kama litadumu ni kuvumiliana tu bila penzi na uvumilivu huo unaweza kufanywa tu kupitia imani zetu. Kama mtu sio wa imani bila shaka atahangaika kumpata anayemfikisha kileleni. Hivyo mpeleleze mwenzio ujue anahitaji nini na wakati mwingine unahitaji kufanya utafiti maana kuna mwenzi mwingine atasikia aibu kukuambia anachotaka. Huenda anahitaji tiGO sio rahisi kuanza kumwambia, hivyo unachotakiwa kumfanyia research kama ndio chaguo lake, la sivyo atatoka nje kuitafuta na ndio mwanzo wa penzi kufifia na hatimaye kufa kabisa. Huo ndio ukweli!!!
anipende asinipende shauri yake mradi anikune vizuri tu,kwani babangu mzazi huyo
We ni kicheche
Kazi yooote ya nini changamka wende Rozana Tigo buku jero voda nyongeza kupigika huku tuliko pigika humaindi kupenda au kupendwa mwana!
Thanks dia,u nailed it,.very few men can appreciate and hold on to what they have..hata uwabebe,ts just the same..enjoy while it lasts,na kuomba Mungu tu.
Ala, kumbe unataka akufanyie kama unavyoona kwenye tamthiliya???
Haah!! mimi nilidhani hawa jamaa (wachungaji na mapadre) huwa wanaficha siri za malalamiko yanayopelekwa kwao kuhusu migogoro ya ndoa kumbe hakuna kitu? Nadhani sasa kuna haja ya kuacha kwenda kuwaomba ushauri.