Nina million5 mkononi,nahitaji ushauri wa nn niifanyie kama biashara,asanteni
Nina million5 mkononi,nahitaji ushauri wa nn niifanyie kama biashara,asanteni
=Kilimo. Ushauri mzuri pia umetoa.Anzisha kirimo cha bustani matikiti,tango na mboga mboga.tafuta masoko mjini sokoni na mahotekini,utaja niambia