Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,098
- 34,913
Jitahidi kunywa maji japo kwa siku nzima unywe maji Lita 5 inasaidia sana kulifanya Figo lako lifanye kazi vizuri mwilini na damu kusafishika vizuri na mwili wako kuwa na nguvu maji yana faida nyingi katika mwili wa Binadamu unaweza kunywa Maji na Maziwa Fresh Ya N'gombe ukaishi bila ya kula chakula kingine.thanx.ila mie mwenzenu ´mvivu sana wa kunywa maji maziwa ndio nakunywa kama paka.
Jitahidi kunywa maji japo kwa siku nzima unywe maji Lita 5 inasaidia sana kulifanya Figo lako lifanye kazi vizuri mwilini na damu kusafishika vizuri na mwili wako kuwa na nguvu maji yana faida nyingi katika mwili wa Binadamu unaweza kunywa Maji na Maziwa Fresh Ya N'gombe ukaishi bila ya kula chakula kingine.
Mkuu alcohol haina faida yoyote ina madhara tu ndio maana Dini imezikataza kutumia alcohol.Dah nilifikiri valuu na konyagi zimo kumbe hazimo
unajuwa unatakiwa Umwambie mtu kwa hikima ukimwambia Mtu anywe Maji Glasi 6 au 8 atakaunywa kwa wakati mmoja unatakiwa umwambie atumie Lita 5 za maji kwa siku yaani kwa masaa 24 ndio ataona umuhimu wa maji mwilini mwake ukimwambia eti anywe maji Glasi 6 Au 8 kwa siku ataona kama ni mchezo tu mkuu asantehiyo lita tano kaa umekosea mkuu
unatakiwa unywe maji gilasi 6 hadi 8 ambayo ni kama lita moja na nusu hadi mbili
inawezekani kwa siku nina maana ya masaa 24 ndio siku moja mfano Asubuhi ya leo mpaka kesho Asubuhi unaweza mtu kunywa hizo lita 5 za maji ukiwa kama una afya nzuri. kwa mfano maji Glasi 3 ni sawasaw na Lita moja je Lita 5 ina glasi ngapi za maji ya kunywa? ni glasi 15 Je utashindwa kunywa maji kwa masaa 24 Glasi 15?Hapo Blue iko kazi mkuu, na hasa kama hufanyi kazi za nguvu kwenye joto.
Bestlady pole, mi nikikosa maziwa, nimefariki aiseeAsante sana mzizimkavu hivi kitu mbadala ya maziwa ni nini niliacha kunywa maziwa tangu niko 5 years old mpaka sasa kuna kitu nakosa?
unajuwa unatakiwa Umwambie mtu kwa hikima ukimwambia Mtu anywe Maji Glasi 6 au 8 atakaunywa kwa wakati mmoja unatakiwa umwambie atumie Lita 5 za maji kwa siku yaani kwa masaa 24 ndio ataona umuhimu wa maji mwilini mwake ukimwambia eti anywe maji Glasi 6 Au 8 kwa siku ataona kama ni mchezo tu mkuu asante