Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.
Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.
aah! Simple. Atafute zile chupa tupu za maji ya uhai za lita moja, apime mara nne kwenye ndoo ya lita tano, atapata hizo lita nne anazotaka.
majibu ya akina makamba
tulet ndoo yenye lita 5 ni x na yenye lita 3 ni y.
Ajaze X amimine kwenye y.
Zitabaki 2L kwenye X na zile 3L kwenye Y azimwage.
Achukue zile 2L za kwenye X amiminie kwenye Y. X itabaki tupu, aijaze tena maji (itakuwa na 5L akishajaza).
Since kwenye Y kulikuwa na zile 2L aongeze maji kwenye Y yaani(2L+1L=3L) baada ya kujazia y, X itabaki 4L yaani(5L-1L=4L)
mkuu tushauri tuiweke wapi.
Ningependekeza vitu kama hivi viwekwe jukwaa la elimu!Jaquarpaw umenifurahisha sana kwa kuleta changamoto, umetudhihirishia kwamba kazi ya kufikiri sio rahisi ndio maana wanaojihushisha nayo ni wachache, wana JF wamekuwa maneno mengi. Kama una vitu vya namna tunaomba uendelee kuturushia, kweli vinafunza, kukosa jibu la ndg Matambo kuna wajumbe wangeshalisema haiwezekani.
wakuu(gurta na katavi),maoni yenu nimeyapata.Ila nikicheki hizi puzzle,quizzes na riddles,ndio hazi fit sana upande wa jokes na gossip ila zinafaa sana kuchemsha bongo na zipo zaidi for having with each other.mi naona ni bora ziendelee kuwepo huku labda uongozi ukitufikiria,hizi riddles,quizzes na puzzles zipewe ukurasa pekee.Ningependekeza vitu kama hivi viwekwe jukwaa la elimu!
wakuu(gurta na katavi),maoni yenu nimeyapata.Ila nikicheki hizi puzzle,quizzes na riddles,ndio hazi fit sana upande wa jokes na gossip ila zinafaa sana kuchemsha bongo na zipo zaidi for having with each other.mi naona ni bora ziendelee kuwepo huku labda uongozi ukitufikiria,hizi riddles,quizzes na puzzles zipewe ukurasa pekee.
Poa wakuu,nazihamishia jukwaa la elimu rasmi,tukutane kwenye jokes na gossips kama kawa.