Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
ata mimi nimeshangaa sana huyu mdada ni aibu tupu; sijui hizi nafasi za ajira wanazipataje bwana; haya makampuni yanafikiri kuweka madada kama hawa wanao uza sura kuliko wanaotumia akili ndipo yatapata faida kumbe ni upuuzi mtupu.Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
Alikuwa anaongea kwa mapozi sana..kwenye hesabu hakuna mapozi..ni facts and figures tu..Analeta usistadu kwenye hesabu lazima uumbuke.. I felt bad for her..
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
kwani jibu lake ni ngapi? sijaona aliyetaja jibu..mwenye kujua jibu zawadi nono itatolewa
hahahahaaaa ni ishirini na nne bhana....
huyo binti hana makosa kabisa,ikiwa waziri tu,alichanganya Zanzibar na Zimbabwe,na bado yupo kibaruani,mpotezeeni dada wa watu.