Msamehe ametereza, tension ya kamera
Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.
Usiku huu kwenye taarifa ha habari ITV kuna dada mmoja alikuwa anaongelea kuhusu gazeti la the gurdian na Nipashe kuzindua huduma ya yaarifa kwa njia ya sms kupitia tigo kasema mteja atakuwa anapokea msg nne kwa mpigo mara nne akakazia kwamba nne mara nne ni kumi na nane.
ha ha ha ha..... ndugu sicheki kwa kile ulichokiandika nacheka kwa kasumba yetu watz kushikilia zaidi sehemu mtu alipoksea kuliko hata sehemu nzuri ambazo wakati mwingine zinamanufaa kwako zinakupita,Je haya ndiyo matokeo ya elimu aliyosema Mbatia.