INAUZWA 4in 1 Printer for sale

Fibanochi

JF-Expert Member
Jun 28, 2018
475
1,015
Wakuu nauza printer 4 in one yani ina scan,copy,print na fax kwa shilingi laki 760000, imenumuliwa mwaka jana kwa milioni 3 , hii ni Canon MF i5980dw ni wireless unaweza print bila kuunganisha wire, ipo Dar. Tuwasiliane kwa pm for more details
 
Last edited:
why ununue milion 3 na uuze laki saba.. kuna taarifa nahisi unaificha.. je ni mbovu?
 
Bei laki 720,000/-????.......bei kubwa sana.
Kubwa kwa kipimo kipi? Printer kama ilivyo kifaa kingine cha electronic kama simu, ipad, friji nk hutofautiana bei bei kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ubora, functions, na features nyingine ,nk.....mfano hii ni mulfi functional printer DW Canon ni moja ya sophisticated version ya Canon, sy printer kama printer za kawaida ina uwezo wa kuprint na kugeuza karatasi yenyewe(sy kila printer ina hii feature) unaweza tumia kama fax, ina wireless feature ambayo ndy msingi wake, inakufanya uweze kuprint document hata kwa kutumia simu yako ya mkononi bila kuunganisha waya wwt, na unaweza pia unganisha users kama zaidi ya watano kila mtu akawa anaweza print remotely kwa kutumia kifaa chake laptop au simu....unaweza Google for more detailed info.
 
Last edited:
why ununue milion 3 na uuze laki saba.. kuna taarifa nahisi unaificha.. je ni mbovu?
Unahitaji kwani? Watanzania mbona tuna shida sana na hatujielewi nn tunataka. Kwa taarifa tu sy mbovu na inafanya kazi vzr kama ni muhitaji sema tufanye biashara
 
Hivi milioni 1,000,000 ni sawa na 1,000,000?
 
Machine kali sana hii sema watu tunadoubt hiyo depreciation ya bei
 
Afadhali nmekutana na hii comment, mkuu naomba nielimishe kidogo utofaut wa LaserJet na ink jet mana huwa nayaona tu haya maneno kwenye mambo ya printer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…