4G ya Vodacom ndio mfano wa kuigwa.

4G ya Vodacom ndio mfano wa kuigwa.

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
1,062
Reaction score
996
Kusema ukweli, kwenye haya maswala ya intaneti— naweza kuwa kati ya wahenga nchini hapa; maana nakumbuka matumizi yangu yalianza mwanzo wa mwaka 2000, nikiwa bado mdogo sana. Enzi hizo nakumbuka tulikuwa tunapata intaneti nyumbani kutoka kwenye simu ya mezani ya TTCL: inayojulikana kama Dial-up internet (ilikuwa inapatikana kwa kuchomeka waya toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta).

Tokea miaka hiyo, nimeshapitia teknologia tofauti tofauti kwa kadri teknologia ya mawasiliano ilivyoboreshwa hapa nchini. Kuna intaneti ya satellite (ambayo ilikuwa kwenye internet café nyingi kubwa nchini), baadae kwenye miaka ya 2005 tulipo anza matumiza ya GPRS kwenye simu zetu za viganjani (tukawa tunapakua magame na nyimbo za kb300 waptrick ), kufatiwa na CDMA ya zantel, EVDO ya Sasatel (Rest in Peace), bila kusahau ukuaji wa Edge na 3g.

Kwa nini nimewarudisha nyuma kidogo? Nimefanya hivi kuwakumbusha tulipo toka na teknologia zote hizo zilivyokuwa; japo chache zilikuwa bora hususani EVDO ya Sasatel ni mfano mzuri wa teknologia ya intaneti iliyokuwa ya kimataifa— lakini hizi nyingine kwa matumizi yangu, kiukweli zilikuwa ni pasua kichwa. Sana sana kwenye haya maswala ya kuangalia video youtube ya dakika 3 tu; inaweza kuload hata dakika 15, au kupakua vitu mtandaoni lazima ukeshe usiku wa saa 8 ndio upate spidi inayoeleweka.

Kwanini nasema 4G ya Vodacom ndio mfano wa kuigwa? Hapa Tanzania teknologia ya 4G japo ilitambulishwa kwanza na Smile, na kufuatiwa na Tigo Tanzania; ndio kina Vodacom na TTCL wakafuatia. Lakini hii mitandao ukitoa Smile, ukiangalia kusema kweli hawakupi 4G ya "kweli". Kwa nini nasema hivi? Turudi nyuma kidogo kwanza tuangalie, mtandao mpaka huwe 3G; unabidi huwe na spidi ya juu (peak speed) ya 7.2Mbps kwa HSPA, 22Mbps kwa HSPA+ au baada ya marekebisho 3.75G hadi 42.2Mbps spidi ya juu. Japo hichi sio kitu cha lazima sana, maana wenye mitandao wanaweza kuita teknologia flani chochote wanachokitaka kwakuwa benchmark za spidi hazijawekwa rasmi kivile.

tigo%201.jpg
ttcl1.jpg
ttcl2.jpg

Lakini spidi za Tigo 4g na TTCL (kwenye hizo screenshot picha ambazo kwenye eneo la mtandao ni blank ni TTCL tena nimefanya hizo speedtest nje ya ofisi zao Samora) ni spidi sawa na 3.75G ya Airtel ya mwaka 2012, iliyokuwa inafika 16Mbps wakati mwingine zaidi— kwa mimi Vodacom ndio wenye 4G ya “kweli” :

voda2.jpg
voda3.jpg
voda4.jpg
voda1.jpg

Huu mtandao, bila unafiki kwangu mimi ni hatari, iwe usiku wa manane au asubuhi, spidi yake ni ya kasi sana; ukiwa youtube hata ukiweka video ya 4K au 2K haina buffering, Skype au Whatsapp calling hazina tatizo, kupakua movie online usually kwa experience yangu ni chini ya dakika 3.

Sasa ombi langu kwa mitandao mingine, hususani Tigo nyieee... naombeni, sana tena sana mjitafakri upya— sijui nyie kwenu pakoje lakini mitaa ya kwetu Tigo na TTCL ni majanga. Ningependa sana mitandao ya bongo isiwe inapenda kuigana tu kwenye kupandisha bei ya vifurushi, lakini pia kwenye vitu kama hivi vya kuboresha minara yao kufikia kiwango cha Vodacom. Na kwa Vodacom, bei zenu hizo, japo tufikirieni kidogo. Mwisho
 
View attachment 736253View attachment 736255View attachment 736257

Lakini spidi za Tigo 4g na TTCL (kwenye hizo screenshot picha ambazo kwenye eneo la mtandao ni blank ni TTCL tena nimefanya hizo speedtest nje ya ofisi zao Samora) ni spidi sawa na 3.75G ya Airtel ya mwaka 2012, iliyokuwa inafika 16Mbps wakati mwingine zaidi— kwa mimi Vodacom ndio wenye 4G ya “kweli” :

View attachment 736260View attachment 736261View attachment 736263View attachment 736264

Umeandika vizuri sana na umenikumbusha mbali pia uliyosema yote ya kweli.
 
Speed ya mtandao inategemea na eneo ulilopo.
Sehemu nnayoishi mtandao wa voda una internet ina speed nzuri kushinda mitandao yote.
Ila nikienda home kwa wazazi internet ya voda ni kimeo hatari.
 
Mmmmh utakua ulinunua share za voda kipindi kile mkuu na umeona gawio ni zero sasa unaanza kupiga debe kimtindo ila to be honest natumia voda na niko maeneo ya mjini ila daaaah bora halotel ila voda ni vimeo kuliko vimeo linapokuja suala la kasi ya 4G!! Tigo na hao TTCL nao ndo wale wale tu!! Mkuu uza tu hizo hisa zako hata kwa bei ya kutupa
 
Hii kitu ni universal; kadri unavyoondoka kwenye mji mkubwa ndipo mtandao unavyokuwa mbovu. Investment ya infastructure unaweka mahala utapopata faida kubwa. Ndio mitandao yote inavyofanya ukitoa Halotel.
 
Mmmmh utakua ulinunua share za voda kipindi kile mkuu na umeona gawio ni zero sasa unaanza kupiga debe kimtindo ila to be honest natumia voda na niko maeneo ya mjini ila daaaah bora halotel ila voda ni vimeo kuliko vimeo linapokuja suala la kasi ya 4G!! Tigo na hao TTCL nao ndo wale wale tu!! Mkuu uza tu hizo hisa zako hata kwa bei ya kutupa
Hahaha.. Hamna mkuu, mimi wala sio shareholder. Nilitaka tu nitoe pongezi kwa kazi nzuri wanayofanya, hususani katika maeneo ninayo tumia mtandao wao katika pita pita zangu. Maana naona kila mtandao ulikurupukia 4G bila kujitayarisha, Halotel pia wapo vizuri kwenye 3G na kama kawaida laini yao ipo nasubiria wamalize matayarisho yao ya 4G nirudi.
 
4G ya Voda wameitambulisha moro kitambo tu ila ni kimeo hatari yaani bora hata 3G ya halotel na airtel
 
Mtoa mada umekuja na hii post kwa sababu unajua nini kinachoendelea Voda kwa sasa...

Vifurushi vyao vipo juu na speed ya internet yao imekua mbovu sana mwezi huu wote...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom