4G ya Airtel

4G ya Airtel

Madaga

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
563
Reaction score
736
Hatimaye Airtel wahamia 4G, hope hawatabadilisha vufurushi vyao.
IMG_20190715_133804.jpg
 
Mie pia nimetumiwa..
Hizi hbr zitakuwa za kweli
 
Nmebadili leo line
Hakuna cha 4G wala nini
Nmewapigia wananiambia et hawajazindua bado
Wakati walikua wananitumia ma sms tele
 
Nmebadili leo line
Hakuna cha 4G wala nini
Nmewapigia wananiambia et hawajazindua bado
Wakati walikua wananitumia ma sms tele
Tayari mkuu mie kwangu jana walini add kwenye 4g yao tena bila kubadili line mpaka nikashangaa.. ikabidi niitest kwenye modem zingine na nikaona kweli imeshika 4g..

Nimeambatanisha na screen shot uone Screenshot_20190806-112258.png
 
Walishaniwekea wakanipa na GB4 zangu
Zimeniishia asaivi natafuta bundle la kujiunga
Tayari mkuu mie kwangu jana walini add kwenye 4g yao tena bila kubadili line mpaka nikashangaa.. ikabidi niitest kwenye modem zingine na nikaona kweli imeshika 4g..

Nimeambatanisha na screen shot uoneView attachment 1173565
 
Back
Top Bottom