Nikuunge mkono kuwa ni ghali kweli.
LAKINI hii inakutegemea wewe kwanini unatumia internet???
Ikiwa unatumia kibiashara 4G ni sahihi na sio ghali hata kidogo, lakini kama unatumia hata 5,000 /mwezi ambayo haitarudi kwa namna yoyote, ni ghali.
Kwa hiyo inskutegemea wewe na matumizi yako.
Mtu kama mimi bajeti yangu ya data ni 60,000/mwezi, naona ni sawa kwasababu inanilipa sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app