4G ina filisi

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Habari za saa hizi ndugu zangu.

Leo nataka nishee nanyi jambo dogo tu.

Nimeanza kutumia smartphone zenye uwezo wa 3G kwa mda mrefu na labda niseme kwa muda wote nimekuwa nikitumia simu zenye uwezo wa 3G. Yaani spidi ya mtandao ni ya 3G.
Laikini nimekuwa nikisikia habari nyingi sana nzuri kuhusu 4G. Ni speed ambayo imesifiwa na watu wengi sana kwamba ni kasi sana. Ni kweli wala sipingi. Na ukweli huu ndo ulionifanya namimi nitamani simu ya 4G.

Nikajipiga piga mpaka nikanunua bhna, ila kiukweli baada ya kununua simu yenye uwezo wa 4G na kuanza ktumia 4G nimeanza kujuta kwakweli. Kwanini ? Inakula data ile mbayaaa.

Yaani spidi naipata ila cha moto nakiona.
Bajeti yangu mi ilikuwa bando la mwezi elfu 20. Napata MB 15. Kwa spidi ya 3G ili bando nilikuwa natumia mwezi mzima ila sasa hivi wili moja tu.

Ushauri: Kama bajeti yako katika matumizi ya intetnet ni ndogo kama mimi ndugu yangu bora ustick 3G tu, maana 4G si ya kitoto. Mi nimebadilisha kwenye settings nimechagua 3G. Hata hivyo ni ushauri tu unaweza ukaufata au kuuacha. Maana nismetoa kwa nilichokiona nikaona sio mbaya nikashea.
 
Nikuunge mkono kuwa ni ghali kweli.
LAKINI hii inakutegemea wewe kwanini unatumia internet???

Ikiwa unatumia kibiashara 4G ni sahihi na sio ghali hata kidogo, lakini kama unatumia hata 5,000 /mwezi ambayo haitarudi kwa namna yoyote, ni ghali.
Kwa hiyo inskutegemea wewe na matumizi yako.
Mtu kama mimi bajeti yangu ya data ni 60,000/mwezi, naona ni sawa kwasababu inanilipa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unafanya biashara gani mtandaoni?

Yes ndugu kama matumizi yako ya bando ni ya kikazi ela huwa haiumi kabisa yani
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom