40 ways that China is beating America. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

40 ways that China is beating America.

Discussion in 'International Forum' started by Elungata, Apr 2, 2013.

 1. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,336
  Likes Received: 7,478
  Trophy Points: 280
  China is wiping the floor with United states on a global economic stage and most America are clueless that they have absolutely no idea what is happening.
  The number one global economic superpower is in advanced state of decline and the number two global economic superpower is becoming stronger with each passing day.
  READ MORE
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,481
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wamarekani wanatetemeka, right now wanajaribu kusogeza majeshi yao even closer to China through South Korean boarders and the Pacific ili japo kidogo wajiskie vizuri kua wanaweza kuwadhuru endapo itahitajika, ila ukweli unabaki kua huo China ndo next world Super power
   
 3. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #3
  Apr 2, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,979
  Likes Received: 1,829
  Trophy Points: 280
  Very Sad, Tatizo USA yuko bise na Vita, na wachina ni wajanja sana, USA vita ya IRAQ na Afghanstan ndo vimemgarimu sana, na kwa sasa USA hayuko tiyali kuingia kwenye vita tena, make kufanya hivyo ndo itakuwa mwisho wake, Na Si China pekee ambayo itampita USA bali inatabiriwa hata India itakuja kumpita
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2013
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,088
  Likes Received: 3,465
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu Chasha kuna hili kundi la mataifa matano BRICS (China,India,Russia,Brazil na South Afrika) wako mbioni kuanzisha Bank yao ili kuzima ushawishi wa WB na IMF, Amerika na mataifa ya Ulaya yatakosa ushawishi katka utawala wa dunia.Tatizo halitakuwa Marekani peke yake bali Ulaya pia hawatakuwa na usemi katika masuala mengi kuanzia siasa za kimataifa na nk.Uchumi wa Brazil umekuwa kwa kasi hadi kuupita uchumi wa UK.

  Miaka 10 - 15 uchumi wa China utakuwa mkubwa kiasi kwamba wanaweza kujitoa BRICS.Kwa maneno mepesi kabisa biashara ya ndani itakayokuwa ikifanywa na China peke yake itajitosheleza bila kuhitaji soko la nje.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  China, pasipo demokrasia lakini wakipiga hatua kubwa duniani kiuchumi na kiutawala.
   
 6. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,336
  Likes Received: 7,478
  Trophy Points: 280
  Vile vita alivyopigana muamerika vimemrudisha nyuma sana.
  Viwanda vingi vime outsource production kukwepa gharama kubwa za uzalishaji marekani,matokeo yake maelfu ya wamarekani hawana kazi .
  Wakati mwaka 2012 wamerekani wameuza china bidhaa zenye thamani ya dola bilioni 100,wao wachina wameuza marekani bidhaa za bilioni 450 dola za marekani.
  Hawa watu wako speed si polepole.no wonder media za magharibi wanajitahidi kuwapiga propaganda.
   
 7. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,517
  Likes Received: 3,809
  Trophy Points: 280
  Well said mkuu, kundi la BRICS litakuwa moto wa kuotea mbali na Mataifa ya magharibi yamekwisha lishtukia hilo - sasa wanahaha sana watumia njia gani ya kuzima/contain Tsunami ya BRICS.

  Juzi juzi hapa ndio nilikuja kukubali kwamba nchi za magharibi zina roho ngumu kama za paka! Ni hili lilio husu matatizo katika Mabenki Kisiwani Cyprus, binafsi niliona kama huu ulikuwa ni mchezo mchafu wa kuzamisha fedha ya Warusi walio kuwa wamewekeza/deposit kwenye Mabenki hayo - mkuu Warusi walipoteza takribani billioni 100 kama sikosei!!!

  Mwanzo EU ilijitia kusua sua kutoa kuyasaidia mabenki hayo, baadae Serikali ya Urusi ikasema kwa kuwa kuna Warusi wengi waliowekeza fedha zao kwenye mabeki hayo, basi Urusi itatoa msaada - nchi za magharibi zilipo sikia tamko la URUSI basi Nchi hizo zikafanya mbinu za kugeuza kibao na kudai kwamba hakuna haja Ujerumani itatoa fedha na kuwapatia Mabenki ya Cyprus kwa masharti kwamba wateja walio weka fedha nyingi zitakatwa kwa asili mia 40 kama sikosei hili kuimarisha beki na hawaruhusiwi kuondoa fedha zaidi za dollar elfu ishirini kwa wiki, baadae wakasema wateja wenye fedha nyingi wakatwe asilimia 60 kusaidia kuimarisha benki hela hizo zinaweza kurudishwa hali ikiwa nzuri kidogo, ni lini hali itakuwa nzuri hawasemi! Warusi wa watu wakajikuta hela yao inachezewa mchezo mchafu kama huo na nchi za magharibi. Nasikia Putin alikasirika kupita kiasi, nafikili kisa hicho kiliongeza kasi ya kuanzisha BANK za BRICS fasta fasta.
   
 8. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #8
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,979
  Likes Received: 1,829
  Trophy Points: 280
  Nchi za Magharibi plus USA hali ni Mbaya na kwa sasa Ulaya nzima wanaitegemea Ujerumani pekee na Tukumbuke Mataifa Matatu yenye Nguvu Ulaya ni Ujerumani, Ufaransa na Italy, na kwa sasa Italy hali ni Mbaya na inatabiliwa endapo uchumi wa Italy utakuwa kama ule wa Greek basi hapo ndo itakuwa mwisho wa EU nazani muungano wao utabakia kwenye Mpira pekee

  Na hali imeanza kujitokeza na huku Bongo, NGOs nyingi zilizo kuwa zinatagemea pesa kutoka Ulaya kwa kweli hali ni Ngumu sana, Project nyingi zimesimama au zinasuasua na Wafadhili wengine wanakuambia ndo mwisho,

  Na kilicho iponza Ulaya ni USA Marekani ni Mjanja sana anaanzisha Vita and then anawaingiza Ulaya kwenye Vita mfano kule Afghanstan na Libya,
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2013
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huu ubabe wa USA huwa unanikera sana!
  Ngoja China ampiku atatia akili.
   
 10. Kyodowe

  Kyodowe JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 6, 2013
  Messages: 495
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Nafikiri sasa tutajifunza endapo demokrasia tuliyonayo ni jibu sahihi la kutuletea maendeleo haswa nchi nyingi za kiafrika. Mfano mzuri ni namna kampeni za jirani zetu wakenya zilivyowagharimu mabilioni ya pesa ambazo ni zaidi ya asilimia themanini ya bajeti ya Tanzania. Kwa nchi changa kama ya kwetu sidhani kama tutapata kuendelea maana dalili zote za kumwagika pesa chafu 2015 zimeshajiweka wazi. Nawasifu wachina kwa kuwa walimuelewa Carl Max na hata rafiki yake mkubwa Urusi na pengine tutajifunza baada ya miaka kadhaa ya kwamba kiongozi huwa anatengenezwa na kinachoijenga nchi ni uzalendo tuu. Ukiipenda nchi yako utaitumukia

   
 11. K

  Koba JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2013
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,148
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Naona mnaelewa kinyume nyie na vita sio sababu ya US kuanguka,FYI war kwa US is a big business na ni big party ya GDP yao,kwa maneno mengine vita zinaimarisha uchumi wa US na zile vita za Iraq na Afghanistani zilikuwa na faida kubwa sana kwa US ingawaje hawawezi kukuambia hivyo lakini wanaoelewa wanajua hilo,Iraq kwa sasa inalipa deni kubwa sana kwa US na oil contracts nyingi ni za US for the next 50 yrs na jeshi lote la Iraq ni contracts za pentagon na US military industry worthy billions of dollars,US haianguki ila ime slow down tuu kutokana na global economy na housing na ni kawaida sana in capitalism,infact GDP yake bado inakuwa tuu tofauti na Europe ...US sasa wamegundua gas and oil ya kufa mtu soon will compete na Saudi Arabia/Russia,China they are doing fine lakini will take many yrs kufikia US na tatizo lingine Economy yao inategemea sana US bila US China is nothing.
   
 12. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The following are 40 ways that China is beating America&#8 230;


  #1 As I mentioned above, when you total up all imports and exports of goods, China is now the number one trading nation on the entire planet.


  #2 During 2012, we sold about 110 billion dollars worth of stuff to the Chinese, but they sold about 425 billion dollars worth of stuff to us. That was the largest trade deficit that one nation has had with another nation in the history of the world.


  #3 Overall, the U.S. has run a trade deficit with China over the past decade that comes to more than 2.3 trillion dollars.


  #4 China now has the largest new car market in the entire world.


  #5 China has more foreign currency reserves than anyone else on the planet.


  #6 China is the number one gold producer in the world.


  #7 China is also the number one gold importer in the world.


  #8 The uniforms for the U.S. Olympic team were made in China.


  #9 85 percent of all artificial Christmas trees are made in China.


  #1 0 The new World Trade Center tower is going to include glass that has been imported from China.


  #1 1 The new Martin Luther King memorial on the National Mall was made in China.


  #1 2 One of the reasons it is so hard to export stuff to China is because of their tariffs. According to the New York Times, a Jeep Grand Cherokee that costs $27,490 in the United States costs about $85,000 in China thanks to all the tariffs.


  #1 3 The Chinese economy has grown 7 times faster than the U.S. economy has over the past decade.


  #1 4 The United States has lost a staggering 32 percent of its manufacturing jobs since the year 2000.


  #1 5 The United States has lost an average of 50,000 manufacturing jobs per month since China joined the World Trade Organization in 2001.


  #1 6 Overall, the United States has lost a total of more than 56,000 manufacturing facilities since 2001.


  #1 7 According to the Economic Policy Institute, America is losing half a million jobs to China every single year.


  #1 8 China now produces more than twice as many automobiles as the United States does.


  #1 9 Since the auto industry bailout, approximately 70 percent of all GM vehicles have been built outside the United States.


  #2 0 After being bailed out by U.S. taxpayers, General Motors is currently involved in 11 joint ventures with companies owned by the Chinese government. The price for entering into many of these &#8 220;joint ventures&#8 221; was a transfer of &#8 220;state of the art technology&#8 221; from General Motors to the communist Chinese.


  #2 1 Back in 1998, the United States had 25 percent of the world&#8 217;s high-tech export market and China had just 10 percent. Ten years later, the United States had less than 15 percent and China&#8 217;s share had soared to 20 percent.


  #2 2 The United States has lost more than a quarter of all of its high-tech manufacturing jobs over the past ten years.


  #2 3 China&#8 217;s number one export to the U.S. is computer equipment, but the number one U.S. export to China is &#8 220;scrap and trash&#8 221;.


  #2 4 The U.S. trade deficit with China is now more than 30 times larger than it was back in 1990.


  #2 5 China now consumes more energy than the United States does.


  #2 6 China is now the leading manufacturer of goods in the entire world.


  #2 7 China uses more cement than the rest of the world combined.


  #2 8 China is now the number one producer of wind and solar power on the entire globe.


  #2 9 There are more pigs in China than in the next 43 pork producing nations combined.


  #3 0 Today, China produces nearly twice as much beer as the United States does.


  #3 1 Right now, China is producing more than three times as much coal as the United States does.


  #3 3 China now produces 11 times as much steel as the United States does.


  #3 4 China produces more than 90 percent of the global supply of rare earth elements.


  #3 5 China is now the number one supplier of components that are critical to the operation of U.S. defense systems.


  #3 6 A recent investigation by the U.S. Senate Committee on Armed Services found more than one million counterfeit Chinese parts in the Department of Defense supply chain.


  #3 7 15 years ago, China was 14th in the world in published scientific research articles. But now, China is expected to pass the United States and become number one very shortly.


  #3 8 China now awards more doctoral degrees in engineering each year than the United States does.


  #3 9 The average household debt load in the United States is 136% of average household income. In China, the average household debt load is 17% of average household income.


  #4 0 The Chinese have begun to buy up huge amounts of U.S. real estate. In fact, Chinese citizens purchased one out of every ten homes that were sold in the state of California in 2011.
   
 13. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hizo kwenye red zinaleta burudani sana!
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,336
  Likes Received: 7,478
  Trophy Points: 280
  mimi nashukuru tu umenisaidia kuikopy kwa hiyo mtu halazimiki kwenda kwenye link kuisoma.
   
 15. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2013
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 485
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Nyakipambo Mkuu

  Nimekukubali
   
 16. K

  Koba JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2013
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,148
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  Its true US ana deni kubwa almost 15trillion but if you breakdown hilo deni China anadai less than one trillion,na deni kubwa ni la ndani kuanzia pension fund mpaka local banks,ila kitu ambacho watu husikii wakiongea na sijui kwa nini ni how much US inadai nchi nyingine? jibu ni nyingi kuliko inazodaiwa,nchi nyingi zinadaiwa na US war debt ambazo interest yake ni kufa mtu na ndio maana US hataacha kupigana vita.
   
 17. N

  Natalia JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2013
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,523
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Tatizo la china Wanapenda quantity not quality
   
 18. mossad007

  mossad007 JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2013
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 1,169
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Fact kwamba eti china inaipita USA kiuchumi kisa suti za tim ya USA kw michezo ya Olympic zilitengenezwa china zinafurahisha na ziko kishabiki mbona hamsemi ndege anayotumia rais wa china Boeing imetengenezwa USA mbona hamsemi china imeorder Boeing 747 kadhaa kutoka USA kw ajili ya shirika lake la ndege mbona hamseni partner mkubwa kibiashara wa China duniani ni USA which means akijitoa Uchumi wa China utaathirika yako mambo meng ambayo inabidi msiyafumbie macho mseme ukweli sio siasa ata km unaichukia USA ila km inaperform usiijifanye hauoni useme tu then sisi tutachambua mazur yake alaf mabaya yake tutayaweka kando
   
 19. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2013
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Land of freedom and home of the braves!!!
  There's no country like USA.
  The greates nation on earth
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,336
  Likes Received: 7,478
  Trophy Points: 280
  mkuu kumbuka hii article nimeitoa kwenye link,siyo yangu lakini ukiifuata link utaona kaweka arguments zake pamoja na link za kusurppot karibu kila point.huo mfano wa nguo pengine alitaka kuonyesha kuwa marekani hivi sasa wanaimport karibu kila kitu toka china.

  La muhimu kunote hapa ni kuwa article hiyo imeandikwa na MMAREKANI,mimi nimeiona nikaamua kushea na ninyi.
   
Loading...