3M naanza kufuga kuku wa kisasa

Bal

Member
Nov 19, 2018
31
31
Wadau hongereni kwa ujasiliamali....

Naomba ushauri nina 3M nataka nianze ufugaji wa kuku wa kisasa.
1. Naomba kujua ukubwa na sifa kwa ujumla wa banda lake
2. Kuku wa mayai au nyama yupi analipa?
3. Kampuni inauza vifaranga bora kwa tanzania
4. Nianze na kuku wangapi (kwa kuku wa mayai wangapi na nyama wangapi)
5. Namna ya kuwapokea vifaranga
5. Mengineyo yanayoweza kunisaidia
 
mkuu, usije ukatumbukiza mtaji wote huo huko tafadhali........

kilomo/ufugaji unapoanza tafadhali sana anza kidogo kidogo, ukishasoma network na kuwa na soko ndio unaongeza spidi!
 
mkuu, usije ukatumbukiza mtaji wote huo huko tafadhali........

kilomo/ufugaji unapoanza tafadhali sana anza kidogo kidogo, ukishasoma network na kuwa na soko ndio unaongeza spidi!
Nashukuru
Lkn hiyo 3m ni pamoja na ujenzi wa banda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom