3G TP Link wifi Router.

3G TP Link wifi Router.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
ImageUploadedByJamiiForums1410241638.235876.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241698.333540.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241738.556325.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241771.083842.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241856.538323.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241895.536395.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241920.884302.jpgImageUploadedByJamiiForums1410241954.503588.jpg

Pata portable router ambayo unaweZa kusafiri nayo popote pale.

Pia Ina Uwezo wa kuunganisha vifaa 10 at once. Pia Kama una smart TV ni nzuri kwani unaweZa ukaangalia YouTube kwa kutimia hii Router.

Bila kusahau kwa wale WATUMIAJi wa receiver za IPTV na Qsat, hapa ni mwake. Zina Uwezo wa kusukuma hizo Machine pamoja na IP-Cameras pia. Karibuni.

Price; 60,000/- tu bila Modem.
 
Hazijashuka tu mkuu...toka 2014 tulegezee
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mkuu mbona hujibu..legeza kidogo mi nna 50
 
Back
Top Bottom