....Na mara nyingine usione tofauti kabisa kwa sababu sio kila mtu ana macho yenye uwezo wa kuona 3D....Ni mpaka ujue 3D(3dimension) inamaanisha nini, ndo utaweza kuona (kwa macho )difference yenyewe!..Otherwise, difference ni ndogosana, na si ya umuhimu sana!
Ulivaa miwani ya 3D?
tv set zenyewe zinaweza kuwa za 3D na usihitaji kuvaa miwani wakati wa kutizama
lakini kwa 3D channels tu za kawaida bila ya kuvaa miwani hakuna tofauti na tv set ya 2D
Ni mpaka ujue 3D(3dimension) inamaanisha nini, ndo utaweza kuona (kwa macho )difference yenyewe!..Otherwise, difference ni ndogosana, na si ya umuhimu sana!
Swali nzuri sana Chief, Inaonyesha jamaa hakuvaa miwani, bila miwani hakuna tofauti yeyote ile.
kwa hiyo ukinunua hiyo 3D inabidi uvae na miwani yake ndio utaona tofauti....hahaaa. sasa uto tumiwani tunaweza kuwa tungapi kwenye seti moja ya 3D maana familia zetu hizi za watoto watatu plus baba na mama , bila kusahau ndugu mmoja wa upande wa mume na mmoja wa upande wa mke , plus dada wa kazi , bado jirani hajakuja kuangalia DSTV ili amuone ROONEY ama Scholes akifunga goli la kichwa....kweli nahisi kama tumiwani hatutatosha maana .
Hiyo 3D channel inaitwaje au unachanganya madawa mkuu?
Na kama wallivyosema wadau bila kuvaa miwani maalum ni sawa na Kugalia HD (high definition) movie kwenye Lower definition computer screen/TV Huwezi kuona tofauti.
Mfano capacity ya monitor/TV yako ni pixel 1280 X 800 unatuimia kuangali movie DVD yenye Very High Definition (VHD) 2140 x 1200.Huwezi kuona quality ya picha inayotegemewa.
miwani yake ni very cheap,sinema wanatoa bure ikiisha inakuwa yako...
Wengi hawajajua 3D ina maana gani, wengine wana dhani 3D ni HD iliyo na quality nzuri zaidi , ni awa na HD TV zilivyo ingia ilichukau muda kw awatu kuelewe ili upate quality ya HD unatakiwa uwe na nini na nini.
Ok kabla huja nunua hiyo 3D-TV nakushauri nenda kwenye IMAX cinema ambayo inaoneysha movie in 3D , ona majic ya hiyo show then utajua tofauti ni nini , hakikisha hiyo movie kwnye IMax ni 3D na pia uwe umevaa miwani , halafu urudi hapa useme umeonaje na uhakika utakua mdomo wazi muda wote wakati wakuangalia hiyo movie.
Well at least u'll get me now,nimeona kwenye cinema,its brilliant,but kwenye TV especially football its not all that,maybe nikiwatch movies via hio 3D ON TV.
nilivaa miwani of course,hata ukivua unaona blurred images sio mbaya kiivyo