3D Printing is really, technology inasonga kwa kasi ya ajabu

3D Printing is really, technology inasonga kwa kasi ya ajabu

Kuna jama marekani alikamatwa kwa kutengeza Bastola na kuweza kupiga risasi za kweli kwa kutumia 3D printer
 
Hata hii ni zao la 3D printer.
3d-printed-gun.jpg
 
miujiza hiyo!!!!soon tutaanza ku download chakula youtube
 
Can we 3d print a good president?
 
Back
Top Bottom