30bn/- to buy desks for Dar, Mwanza and Moro

warea

JF-Expert Member
Jan 22, 2010
244
65
Any idea why dar, mwanza and Moro get 36 percent of radar money and the rest regions get 64? Arusha, tanga, mbeya, shinyanga, tabora, singida, dodoma, unguja, pemba, pwani, rukwa, kigoma, kagera, kilimanjaro, iringa, ...?

While the poorest aren't in Dar, Mwanza and Moro!
Source: IPP media
 
Madawati ya 30bn ni mangapi? Nani anajuwa bei ya dawati moja?
 
Utafunaji wa hela mwingine huooo!mbona hawajatoa mchanganuo wa hiyo hela.je dawati moja ni bei gani na wanategemea kununua madawati mangapi na kuyagawa kwa shule ngapi?pia hiyo hela itapunguza tatizo la madawati kwa asilimia ngapi?wanakurupuka tu!
 
Kama gharama za kutengeneza madawati zitakuwa kubwa,napendekeza tender wapewe jkt au veta coz wanavitengo vya ufundi kuliko kupewa watu binafsi.isitoshe veta na jkt wapo nchi nzima.
 
Madawati ya 30bn ni mangapi? Nani anajuwa bei ya dawati moja?

Primary la watu wawili ni 70 na sekondari kiti na meza 80.

Ila kibongo bongo ujue ni 200 kwa 300.

Ni kama madawati 400,000 tu!
 
Pls......naomba nipewe kazi ya kuallocate hizo funds.......hata kusimia tu bila malipo.....!!!!!yaelekea serikali haina priorities !!!!!
 
Very simple why Dar Morogoro and Mwanza......

it is very clear that those three region and very far behind in terms of education performance and poor infrastructure.. Kilimanjaro and Arusha at least 75% of so called kata school and well equipped... So applied to Mbeya and Kagera even Songea...

again even population wise i think Dar even Mwanza a well crowed..
 
ivi tz ina watawala wa rangi gani?kwa nini madawati at per na kwa nini madawati kwa mikoa?ivo hatuna demand led ila tunasupply tu! Inawezekana kweli tz hatuna vipaumbele! Yan haraka haraka watawala wameona dawati ndo tatzo ktk elimu?na je ela ya chenji isingeletwa plan ya madawati haikuwepo?yan ela inatoka shimon ili inapotelewa shimo lile!
 
Damned if you do damned if you don't.

I would prefer to do and be damned rather than not to do and be damned.

Hongera Kikwete kwa kufanya kila njia mpaka hii fedha ikarudi, ni rekodi nyingine nzuri kwako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom