300000,nanunua simu

300000,nanunua simu

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
694
Reaction score
320
Wadau simu owe Sony Experia au HTC XL,Nina laki tatu pesa taslimu ya kitanzania, # yangu 0659604088,nipo Dar
 
Sizani utapata HTC XL kwa kilo 3,mm nipo nje ya nchi nina sony xperia arc nauza ni used ila hipo katika hali nzuri. Narudi bongo j.2 kama utakuwa bado ujapata tuwasilane tufanye biashara..
 
Sizani utapata HTC XL kwa kilo 3,mm nipo nje ya nchi nina sony xperia arc nauza ni used ila hipo katika hali nzuri. Narudi bongo j.2 kama utakuwa bado ujapata tuwasilane tufanye biashara..

asante kwa ushauri japo sijakata tamaa,kwa HTC XL naweza kuongeza 50,000
 
Back
Top Bottom