movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
Movie za Ajay Devgan hizo[emoji23][emoji23]movie za kihindi banaa,mtu anapigwa ngumi anarushwa juu kilomita 300,akirudi chini anapasua ukuta...,
gari liko speed 120 lakini sterling anamchomoa jambazi yeye akiwa nje.......
sterling amezungukwa na maraia kama wote,kapigwa kachoka ila mwishoni atapata hasira na kuwafua wote....
Itafute iko poa sanaNiliwahi kuambiwa kuhusu PK ila sijaiona bado
Yeeah ni nzuri hasa ujumbe wakeAamir Khan ana movie yake moja iliyouelezea ulimwengu mzima kwa masaa machache mno, ila ni movie nzuri endapo wewe ni free thinker for those limited thinker siwashauri kuangalia movie inaitwa PK its a Philososphical movie iliyojikita katika kuelezea tofauti za dini duniani ni jinsi gani hazina maana.
Na hali halisi ya Indiaslum dog millionaire hii movie imebase kwenye bahati