- Thread starter
- #41
upo sawa mkuu maana hata nami nliomba civl 1round nkakosa, wenzangu kibao nmepata nao sawa walpata, matokeo yangu n B+BB watu km 64 waliopata cvil wamepata km mm,, hapo nahc safar hii ntapataYani 2nd round unajaza UDSM? Kwa experience hizo course za Mining na Civil hata walioomba awamu ya kwanza wamekosa wengi sana na wana matokeo mazuri sana ya PCM. Kwa 2nd round UDSM labda ARCHEOLOGY na ARCHTECTURE ndio zinakuwaga na nafasi sana,