thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
Kwel mkuu..
Watu tunapresha hapa mwaka mzima mtaan af anasema nn huyo..
ukweli ni mgumu, niliwaambiwa itakuwepo 3rd round mkabisha ingieni kwenye profile zenu then click selection results uone ujumbe unaokuja, itakuwepo ila kama ulichoose selection zako wisely kama walivyosema utakuwa safe tu