nimeangalia wamenichagua kakaHabar wana jf kwa walio omba second round chuo cha Mum watembelee maswa yetu blog kuona majina yao
Muslim university morogoroMUM ndiyo wapi
Bora na ww ss ngoja tukomae na hawa tcu tunimeangalia wamenichagua kaka
daah mi sijui wanaombaje lakin sizan kama kuna raund engine
Second selection tayar?Habar wana jf kwa walio omba second round chuo cha Mum watembelee maswa yetu blog kuona majina yao
Watakuwa wanataka tuwatungie shairi labdaBora na ww ss ngoja tukomae na hawa tcu tu
Na wanaendelea kutukomesha