2naelekea wapi jamani!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2naelekea wapi jamani!!??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkende, Sep 17, 2010.

 1. mkende

  mkende Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  hello!

  im new to this blog but happy to having this opportunity to share some experiences going on in our country Tanzania!

  im used to listening BBC alot, and for the past 2 days they had a topic on huduma ya vyoo mashuleni, na kwa kuanzia wamefanya tafiti na taarifa zao kutoka mwanza!

  2my suprise, nackia kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu mkoani, alimfokea jana mwandishi wa habari wa BBC na kusema kuwa wanaacha kufuatilia mambo ya msingi wanafuatilia vyoo!

  kama mlipata nafac kuckiza kipindi husika, kitawimu tu, kuna shule 2 zinazhangia vyoo, wanafunzi wapo zaidi ya elfu3, wamehojiwa walimu pia wamekiri juu ya tatizo hucka! na kueleza jinsi wanafunzi wanavyo taabika!

  leo nimecikia mwandishi huyo Bwn Eric David Nampesya amekamatwa!

  is this fair jamani!?? inamaana watu wanapotueleza udhaifu wetu wanakosea!??

  cdhani, mm ninamashaka na huyo kiongozi wa ngazi za juu hapo mkoani mwanza!

  i guess he should change, kama vipi aachie ngazi!
   
Loading...