Wakuu nawasalimu. Naomba mnisaidie kujua hili: Nipo Hong Kong nimependa Android Tablet pc moja inayo support phone call. kinachonichanganya ni katika specification zake imeandikwa ina support 2G GSM SIM CARD, sasa kwetu Tanzania nimezoea kuona 3G na wala sio 2G.
Naomba mnisaidie kujua endapo nitainunua itaweza kutumika kwa mitandao yetu ya Tanzania? Natanguliza shukrani.
Ni US& 215
kaka amazon kindle fire ipo ya usd 119 na usd 199 maramia ungechukua hzo... Pia znafahamika.. Na znatumia androids piaaaa
anataka ya cellular inayopiga simu
Dahhh... Hvmkuu nexus 7 inapga simuu??
Yah wametoa ya simu but bei inakua 299 na sio 199 tena na storage ni 32gb.
Hapo bas n bora atafte nexus tuuuu