29 October 2011 maandamano ya kupinga malipo ya DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

29 October 2011 maandamano ya kupinga malipo ya DOWANS

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jamii01, Oct 22, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  Maandamano Makubwa yanaandaliwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2011, Jijini Dar es Salaam KUPINGA malipo ya Dowans. Maandamano hayo yatashirikisha Wanaharakati watetezi, Viongozi wa Dini Zote na wananchi wengine watakaowaunga mkono.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo moja ya maandalizi ya maandamano ni kibali cha kuandamana, sasa sijui kama kimeshapatikana? Kila la kheri katika maandamano hayo.
   
 3. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 3,724
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  ....kabla sijabofya hapo kwenye "like", lete source kwanza
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kila la kheri baraka zangu zote nawapatia
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,127
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  SOURCE plz.! Yataanzia wapi kwenda wapi kupitia road gani.??
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Acha kuwazuga watu. Hizo ni porojo, hakuna maandamano wala nini.
   
 7. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 11,055
  Likes Received: 3,489
  Trophy Points: 280
  tanzania bado sana kuwa na uwezo wa maandamano ya kikwelikweli.mnahangaika kama jogoo lisilo na kichwa.
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mkuu wewe ushiriki au wewe unatoa baraka tu?
   
 9. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,198
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Big up tanesco.......
  Endeleza mapambano
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  umeona eee!!
   
 11. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haya ni tofauti na ya yaliyopangwa na Wafanyakazi wote wa TANESCO TANZANIA. Yametangazwa jana na baraza la wafanyakazi Tanesco mkuu!
   
 12. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wewe ni mpotoshaji mkubwa kwani hakuna mpango kama huo.ukijikuta mjuaji utaingia barabarani mwenyewe alafu usikilizie mziki wake.na je hayo maandamano ndio yatatengua amri ya mahakama kuu au ni ya kwa lengo gani.kitaalamu ni vema kufwata hatua za kimahakama kwa lengo la kutengua amri yao kuliko njia ya maandamano ambapo mtaambulia patupu zaidi tu ya kujiwekea umaarufu.
   
 13. S

  Sweetlol Senior Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  humu kunawatu wanafaidika na dowans kama mzee aka malaria sugu.msiwajali wapuuzeni tu
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wakati watu wanaandamana kupinga kisichopingika mi naandaa ya kutaka hili deni lilipwe haraka maana sasa deni limeshaongezeka mara tatu na hakuna kiranja hata mmoja anayeonekana kuinusuru nchi na aibu hii.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,807
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  i said it last time and i am saying it this time.... siamini yatatokea hadi nione yameanza
   
 16. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,442
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nadhani ungeeleweka vizuri zaidi ungesema "Maandamano ni ya kupinga au kuzomea mahakama na kupinga utawala wa kisheria"
   
 17. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  nakuunga mkono ndg. Hawa wote wanaojifanya kupinga hawana lengo zuri. Wanazidi kupoteza muda ili deni liongezeke. Hawana lolote!.
   
 18. leloch

  leloch JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ny nenden ctafanya huo ujnga coz how much cost i'll get durng the tym n how i'll fx t dnt b fool guyz mcwe washabk wamambo. Et unapnga iclpwe kwan alyeshtak nnan? Na ndohuyo anayetaka chake, fst kama mgomo wa rl achen ku2mia umeme n w shall c wr thy wll gt a prft? Sa ka utaandana ukrud una2mia umeme huo c upuuz unapoteza nguvu na mda yaan gud 4nthng b aware mtz kuandamana bla ha2 yyt? Ulza baada ya kuandamana nn ktafwata? O mnakurupuka 2 yaan nna meng ila nmekereka candaman nantapnga maandamano yyt kuhusu dowans, the alternatv n kuaachana na umeme wao
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,569
  Likes Received: 19,956
  Trophy Points: 280
  Utamsikia Mkuu wa Polisi kudai kwamba kibali cha maandamano hayo hakijatolewa na pia kutokana na polisi kuwa na shughuli nyingi za kikazi katika mikoa mbali mbali nchini, hakutakuwa na polisi wa kutosha ili kuhakikisha maandamano hayo yanakuwa ya amani. Kwa maneno mengine hayataruhusiwa kufanyika. Ngoja tusubiri tumsikie Mkuu wa manjangu atasema nini kuhusu maandamano hayo.
   
 20. T

  Tanganyika2 Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii kuendeshwa kwa Polisi ni kikwazo kikubwa cha maendeleo na ni janga la amani kuendelea nchini.....mtanikumbuka.
   
Loading...