SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
Pendelea kula madafuWadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh tu ila sijajua tatizo hli chanzo ninini
pacha kwani huyu anataka ushauri au anatafuta mchumba?Maelezo yanakanganya
Mkuu, nyumba ya Ibada watu hawatongozani bhanaMtaani hakuna hapo?
Kazini na Unapo abudu napo hakuna pia?
Kama hakuna kua mpole.. mda utafika wa kua na mtu sahihi
Mkuu, nyumba ya Ibada watu hawatongozani bhana
pacha kwani huyu anataka ushauri au anatafuta mchumba?
Wadau mnisaidie kimawazo mwenzenu maana hadi sasa na li umri linakwisha sina mwanamke atakayeweza kusimama mbele za watu na kujitambulisha yy kuwa na mimi ni mtu wake maana kama mzigo nabeba flesh tu ila sijajua tatizo hli chanzo ninini
Mkuu..! Ibadani watu wanachukuana sana.. tena kama walokole ndio huchukuana wenyewe kwa wenyewe, kama sio mlokole utatumia nguvu nyingi sana kumtia nyavuni ambae mlokole... na experience na hii watu
dah pole sana labda tuanznie hapa ili tuweze kukushauri .......unahisi kwanini huna ........?
mzigo anauweza anamaanisha mambo six by six anayaweza freshPacha!!!!nmeshindwa kumuelewa......sijui mzigo una maana gani???jaman mliomuelewa tunaomba msaada tusije tukakosa mambo mazur!!!!