Michael Mwanjasi
Member
- Mar 1, 2012
- 44
- 3
Labda ncpge kura
Ee bwanae wananchi kweli mna hasira! Miaka 10 mnamfunga ikulu! hahahaha!
Asante mheshimiwa. Kathread katamu!!!! ( nifah na Dinazarde hebu njooni huku mtoe sapoti)CCM wanamshitaki Mh LOWASA kwetu wananchi kuwa ni mwizi baada ya wao kushindwa kumu hukumu: Sasa basi hukumu yetu sisi wananchi ni october 25:Ambapo sisi wananchi tutamfunga miaka 10 IKULU; Pamoja na adhabu kali ya kututumikia sisi wananchi kwa kutupa elimu ya uhakika, huduma za afya bora.na kuleta maendeleo bora kwa Tanzania nzima.
Mwananchi wahi mapema tar 25 october kumchaguwa MH LOWASA.
Lowassa ikulu ataisikia kwenye bomba.#Hapakazitu
kazi tu wakati malipo ni kiduchu !! Sisi huyu jamaa sharti tumfunge ikulu atutumikie adhabu kali ya miaka kuwatumikia watanzania na kuinua mapato yao. KAZI TUMECHOKA.Lowassa ikulu ataisikia kwenye bomba.#Hapakazitu
Wewe ulichoandika cha maana ni kipi? Mimi siyo CCM wala Nyumbu. Ninaona muelekeo wa Lowassa kutinga Ikulu ni zero. Ona Mnyika anavyotafuta "scapegoat" kwa Tume ya Uchaguzi, kwavile ameshajua kuwa "the game is over"! #HapakazituKazi Zipi Mkuu? Ndiyo Mnavyo Danganywa! Mngekuwa Na ufahamu kichwani, mngeuliza swali hili, yapo wapi Maisha bora kwa kila mtanzania?
Sidhani kama ungeandika ujinga uhu, au ungeendelea kushabikia ccm kama wewe ni mzima!