25 Oktoba kumchagua Lowassa

25 Oktoba kumchagua Lowassa

mnyakarema

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
16
Reaction score
11
CCM wanamshitaki Mh LOWASA kwetu wananchi kuwa ni mwizi baada ya wao kushindwa kumu hukumu:

Sasa basi hukumu yetu sisi wananchi ni october 25:

Ambapo sisi wananchi tutamfunga miaka 10 IKULU; Pamoja na adhabu kali ya kututumikia sisi wananchi kwa kutupa elimu ya uhakika, huduma za afya bora na kuleta maendeleo bora kwa Tanzania nzima.

Mwananchi wahi mapema tar 25 october kumchaguwa MH LOWASA.
 
naunga mkono hoja kweli maana mwizi sharti apewe adhabu ya kutumikia jamii na hukumu ya Liwassa ni kumpeleka Ikulu skatutumikie kwa miaka kumi kama adhabu yake
 
CCM wanamshitaki Mh LOWASA kwetu wananchi kuwa ni mwizi baada ya wao kushindwa kumu hukumu: Sasa basi hukumu yetu sisi wananchi ni october 25:Ambapo sisi wananchi tutamfunga miaka 10 IKULU; Pamoja na adhabu kali ya kututumikia sisi wananchi kwa kutupa elimu ya uhakika, huduma za afya bora.na kuleta maendeleo bora kwa Tanzania nzima.
Mwananchi wahi mapema tar 25 october kumchaguwa MH LOWASA.

Hahahahhahaha!!!!
 
naunga mkono hoja kweli maana mwizi sharti apewe adhabu ya kutumikia jamii na hukumu ya Liwassa ni kumpeleka Ikulu skatutumikie kwa miaka kumi kama adhabu yake

Ee bwanae wananchi kweli mna hasira! Miaka 10 mnamfunga ikulu! hahahaha!
 
CCM wanamshitaki Mh LOWASA kwetu wananchi kuwa ni mwizi baada ya wao kushindwa kumu hukumu: Sasa basi hukumu yetu sisi wananchi ni october 25:Ambapo sisi wananchi tutamfunga miaka 10 IKULU; Pamoja na adhabu kali ya kututumikia sisi wananchi kwa kutupa elimu ya uhakika, huduma za afya bora.na kuleta maendeleo bora kwa Tanzania nzima.
Mwananchi wahi mapema tar 25 october kumchaguwa MH LOWASA.

Ili tumkomeshe ni lazima tumwadhibu kwa kura nyingi mno,mama ongea na wanao,mwana ongea na mamayo,baba ongea na ndugu wote jamaa na marafiki.LOWASSA Atutumikie,Mfalme jeuri CCM akae pembeni.CCM ADIOS!
 
wewe unaonyesha sio mwelewa...........

Lowasa atafungiwa ikulu miaka 10, na kuwatumikia wananchi. sasa wewe hutaki, unataka nini? mbona mmemshitaki, ina maana hiyo adhabu kumbe hamuipendi??

Lowassa ikulu ataisikia kwenye bomba.#Hapakazitu
 
Lowassa ikulu ataisikia kwenye bomba.#Hapakazitu

Kazi Zipi Mkuu? Ndiyo Mnavyo Danganywa! Mngekuwa Na ufahamu kichwani, mngeuliza swali hili, yapo wapi Maisha bora kwa kila mtanzania?

Sidhani kama ungeandika ujinga uhu, au ungeendelea kushabikia ccm kama wewe ni mzima!
 
Hivi naombeni kuuliza ivi kuna nchi gani raia wake wakasema sasa maisha mazuri na wakaingia barabarani kisha wakaandamana kuipongeza serikali.
 
Back
Top Bottom