The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Nikikwambia ninachojilipa utanipa bonus mkuu.., au lengo unataka kucompare..? hahahahahah...
No, niko serious mkuu na comparison sio lengo langu. Kama umenisoma vizuri nataka na mimi nijiweke kwenye mfumo wa kujilipa mwenyewe. Hiyo niliyotaja ni kodi nnayokatwa huku kwenye utumwa.