Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
daah kumbe majanga hayakunipata mimi tu peke angu mi nakumbuka hii series iliniletea ugomvi na girlfriend wangu eti simjali tena hapati attention yangu kisa muda wote namalizia kwenye series..nikaacha kuingia lectures ni mimi na 24 tu basi mpaka watu tukaanza kucopy secret service code words "D.O.D, frank 2 position, group Charlie etc "
Nakumbuka ile season ya REDEMPTION iliyochezwa Africa mpaka General Juma akaenda lipa kisasi white house niliipata kwenye saa 2 usiku aissee nilipoanza kuiwatch ni kuanzia muda huo non stop mpaka asubuhi nikakesha usiku mzima basi ile asubuhi watu wanamka kujiandaa kwenda class wanasikia "the following happened from..." tii tii tiii
DAMN 24!! I LOVE THIS SERIES

Hii kitu ni mwisho....niliwahi kuiangalia nikiwa nasoma aisee nilifeli mitihan vibaya mpaka kufeli kule kumeniletea shida mpaka sasa ktk maisha yangu pengo hilo naliona kabisa
But all in all naipenda hii ki2 mpaka marafiki walifika hatua ya kuniita j.bauwer kwa kuipenda hii series....
By th way napenda sana sehem ile ambapo general JUMA alipo break whthouse na pale alipo mtia kibao madam presdent.pia naipenda sana ile part j.b alipo mteka logan ktk msafara wa magari ktk tunnel huku amevalia suit-shield