thanks but nahisi itakuwa ishaanza kusambazwa,pia kuna watu huwa wanaipata kwa ku download freely sijajua thru wat link..,nimesoma kwenye wall yao facebook,wamesema soon january mkuu!!!
yap ni katika latest season nliyoiona alipoamua kuvalia njuga masnich walioshiriki kumpoteza renee walker
Asha for sure huwa najuta kutokuiona hiyo season ambayo palmer alifariki tafadhali nijuze ni season ya ngapi walau nikajigange kabla hiyo new season haijazagaa mitaaniKatika wanawake woote ambao walikua wapenzi wa beur I loved Renee Most.... Iliniuma kifo chake, ilibidi niahirishe watching mpaka a few hours later.... The second woman nilipenda ni dada alokua nae mafichoni (on his supposed death): Ile ndo my most favourite season of the series.... As much as kifo cha Palmer kiliniumiza.
Nafikiri ilikuwa ni lugha ya kimarket zaidi mkuu ili kutupa tention pindi tutakapoambiwa nyingine imetoka wakati tulishaambiwa iliyopita ni season's finale'chloe O'Brien alitweetigi kwamba last season was season's finale. Sijui labda za china zinakuja season mpya u can not know what to expect..nlishaskiaga kwamba producers wa 24 wako kwene 'Homeland'.
kuna ukweli kiasi fulani katika hilo mkuu,.. naomba utujuze watatumia jina gani nw mbona wanaitangaza kwa kutumia jina la 24sio mwendelezo wa 24 wakuu! Ni series mpya imechenzwa na Jack Bouer pamoja na baadhi ya mastaa wa 24,itatoka january ka sikosei....
mkuu msaada tafadhali ashadii kanilia ganzi naomba nijuze palmer aliangamia kwenye season ipi nikaisake mkuusio mwendelezo wa 24 wakuu! Ni series mpya imechenzwa na Jack Bouer pamoja na baadhi ya mastaa wa 24,itatoka january ka sikosei....
subiri nizipitie ntakujibu mkuu,but i think ni kati ya tano na nne hiv...mkuu msaada tafadhali ashadii kanilia ganzi naomba nijuze palmer aliangamia kwenye season ipi nikaisake mkuu
Asha for sure huwa najuta kutokuiona hiyo season ambayo palmer alifariki tafadhali nijuze ni season ya ngapi walau nikajigange kabla hiyo new season haijazagaa mitaani